- 1,878 viewsDuration: 3:24Je, huenda waziri wa leba Alfred Mutua amejikaranga mwenyewe? Mutua amekataa chama chake cha maendeleo chap chap kimezwe na chama tawala cha UDA, huku viongozi chamani wakishikilia kuwa chama cha Chap Chap kitakuwa na wagombea katika viti vyote isipokuwa kiti cha urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya