- 650 viewsDuration: 2:40Ilikuwa furaha na shangwe katika Shule ya Upili ya Chepsaita, Kaunti ya Uasin Gishu, baada ya wanafunzi kunufaika na madarasa mapya pamoja na bweni, kupitia ufadhili wa Wakfu wa M-PESA. Mradi huo ni katika juhudi za kuimarisha elimu katika maeneo ya mashinani kwa kuboresha miundombinu na kurahisisha mazingira ya masomo.