24 Jul 2026 12:23 pm | Citizen TV 623 views Duration: 1:27 Chuo cha utalii cha Ronald Ngala chatarajiwa kuanza masomo rasmi mwezi Septemba, wanafunzi elfu moja wakitarajiwa kujiunga na chuo hicho anuai katika awamu hiyo ya kwanza.