- 720 viewsDuration: 1:07Amhuri ya kidemokrasia ya Congo imefuzu kwa Kombe la Dunia la kandanda kwa mara ya kwanza baada ya miaka 52. Hii ni kufuatia bao la muda wa ziada lililofungwa na Axel Tuanzebe na kuwapa ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamaica katika fainali ya mchujo ya kuwania kufuzu kwa mabara kwenye uwanja wa Guadalajara, nchini Mexico.