9 Oct 2026 1:21 pm | Citizen TV 481 views Duration: 49s Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini COTU umepuuza madai ya muungano wa wafanyakazi wa nyumbani,Hoteli, Taasisi za Elimu, KUDHEIHA, kuhusu madai ya kuingilia uchaguzi wake.