Skip to main content
Skip to main content

Cyrus Jirongo azikwa, wafuasi watafuta uchunguzi zaidi

  • | Citizen TV
    1,333 views
    Duration: 2:58
    Wandani wa marehemu mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo wameendelea kusistiza kwamba kuna mengi yaliyo gizani kuhusiana na kifo cha mwanasiasa huyo. Wakizungumza wakati wa mazishi yake huko Lugari, wanasiasa wa magharibi pia wamesema hawana imani na uchunguzi wa serikali kuhusiana na ajali iliyosababisha kifo chake.