Skip to main content
Skip to main content

Daktari aeleza umuhimu wa lishe bora kwa afya njema

  • | Citizen TV
    463 views
    Duration: 4:41
    Kwa asilimia kubwa ya watu, msingi wa afya njema hujikita kwenye lishe anayokula binadamu kila siku.Tunaporejelea Makala yetu ya kila alhamisi ya siha na maumbile, mwanahamisi hamadi alipata fursa ya kuzungumza na daktari Okoth Onyango wa hospitali ya equity afia Langata ambaye alichanganua kwa kina kuhusu umuhimu wa lishe bora katika maisha yetu ya kila siku