Skip to main content
Skip to main content

Daktari atuhumiwa kumfanyia upasuaji mgonjwa vibaya mjini Kitale

  • | Citizen TV
    13,764 views
    Duration: 3:19
    Polisi mjini Kitale waanzisha uchunguzi baada ya mwanaume mmoja kufariki baada ya upasuaji unaodaiwa kufanywa katika kliniki ya kibinafsi chini ya mazingira ya kutatanisha na yasiyo salama.Yadaiwa kuwa mgonjwa huyo alifanyiwa upasuaji akiwa amefungwa mikono dirishani huku chumba hicho kikikosa vifaa muhimu kama mitambo ya oksijeni na vifaa vya kufuatilia hali ya mgonjwa wakati wa matibabu