Skip to main content
Skip to main content

Daktari Pascal Wakafura alivamiwa na watu wasiojulikana katika kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    3,504 views
    Duration: 2:19
    Kulingana na familia ya marehemu, jamaa yao alivamiwa na watu wasiojulikana mwendo wa saa sita usiku na kuuawa papo hapo bila kuibiwa chochote. ‎Wametaka uchunguzi wa kina kufanyika kubainisha chanzo cha mauaji hayo, wakisema kuwa mwana wao alikuwa nguzo muhimu katika familia yao.