Mwekezaji kutoka Nigeria, Aliko Dangote, amepuuza hofu kwamba amri za mahakama zinatishia kukwamisha hafla ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kusafisha mafuta cha Lamu chenye thamani ya dola bilioni 16, ambayo imepangwa kufanyika kesho.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya