- 3,947 viewsDuration: 3:31Aliko Dangote amejenga himaya ya kibiashara na viwanda barani Afrika kwa miaka kadhaa. Kiwanda chake cha kusafisha mafuta chenye thamani ya dola bilioni 16, kilichozinduliwa kw aujenzi hii leo huko Lamu, kitakuwa miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya uwekezaji katika sekta binafsi kuwahi kufanywa nchini, na kinatarajiwa kubadilisha pakubwa jinsi eneo hili linavyopata mafuta yake. Bilionea huyo ambaye ni mpole na asiye na majivuno, anatambulika na baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa zaidi barani Afrika.