Skip to main content
Skip to main content

Daraja la Achapa na Alupe larejesha matumaini kwa wakazi wa mpakani

  • | Citizen TV
    400 views
    Duration: 3:41
    Ni afueni kwa wakazi wanaoishi katika vijiji vya mpakani vya Achapa na Alupe baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja linalounganisha nchi ya Kenya na Uganda, na ambalo hutumika na zaidi ya watu mia tano kwa siku. Kwa muda mrefu, wakazi wakiwemo wafanyabishara, wanafunzi na hata wagonjwa wanaotafuta huduma za biashara, matibabu na elimu nchini Kenya na hata Uganda wametaabika kwa kukosa kivukio.