Skip to main content
Skip to main content

Dawa za kulevya zachangia vijana kujihusisha na uhalifu Lamu

  • | Citizen TV
    1,214 views
    Duration: 3:54
    Kamati ya usalama ukanda wa pwani imefichua kwamba Utumizi wa dawa za kulevya,vijana kubeba mapanga na vijana kuvuka nchini Somalia kujiunga na Alshabab ni miongoni mwa maswala yanayodororesha usalama wa Lamu.