Skip to main content
Skip to main content

DCI kuchunguza ulaghai wa malipo ya mishahara ya watumishi wa umma

  • | KBC Video
    186 views
    Serikali imekabidhi ripoti ya ukaguzi wa mfumo wa malipo ya mishahara ya watumishi wa umma kwa idara ya upelelezi , na kutoa nafasi ya uchunguzi wa sakata ya mfumo huo na ulaghai wa malipo ya jumla ya shilling billioni 6.2.Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku anasema uchunguzi huo ni sehemu ya marekebisho yanayoendelea ya kuwaondoa wafanyakazi hewa na kuimarisha uwajibikaji kwenye usimamizi wa pesa za umma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive