- 30,849 viewsDuration: 42sHali ya ulinzi imeonekana kuimarishwa zaidi katika jiji kuu la kibiashara la Tanzania, Dar es Salaam, huku mamia ya maafisa polisi na jeshi wakionekana kutanda katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo. #bbcswahili #ulinzi #Maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw