Skip to main content
Skip to main content

Polisi washika doria katika barabara tofauti ili kuzuia hadhara maandamano ya sabasaba

  • | Citizen TV
    29,039 views
    Duration: 14:41
    Leo ikiwa ni Julai 7, siku ya maadhimisho ya Saba Saba, maafisa wa usalama wameimarisha doria katika maeneo mbalimbali ya Nairobi na kaunti jirani ili kudumisha usalama na kukabiliana na hali yoyote inayoweza kuvuruga amani.