Skip to main content
Skip to main content

Kwanini Dangote ameichagua Kenya kujenga kiwanda cha mafuta na si Tanzania?

  • | BBC Swahili
    59,543 views
    Duration: 2:46
    Bilionea Aliko Dangote ametangaza rasmi kuwa kiwanda chake kipya cha kusafisha mafuta cha barani Afrika kitajengwa nchini Kenya badala ya Tanzania. Mradi huo unatarajiwa kuwa na uwezo wa kusafisha mapipa 700,000 ya mafuta kwa siku. Uamuzi wa kuichagua Kenya unatokana na sababu zipi? Elizabeth Kazibure anaelezea #bbcswahili #kiwandachamafuta #mafuta Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw