- 23,611 viewsDuration: 3:02Maaafisa wa DCI wanaochunguza mauaji ya msichana Joy Kanini aliyeuawa huko Nyeri wakagua nyumba ya mshukiwa mkuu John Muriithi aaminikaye kumuua joy, kuukata mwili wake vipande na kuvitupa katika maeneo tofauti kwenye barabara ya Ngangarithi huko Nyeri. Katika nyumba hiyo polisi wapata ushahidi muhimu ambao waashiria kuwa mshukiwa alimuua msichana huyo katika chumba hicho kabla ya kwenda kuutupa mwili. Polisi wawarai wananchi kutoa taarifa ya kuwasaidia kumkata mshukiwa huyo ambaye atoroka.