Skip to main content
Skip to main content

DCP yashambulia Ruto, yamuunga mkono Gachagua

  • | Citizen TV
    2,024 views
    Duration: 59s
    Viongozi wa chama cha DCP wameendelea kumshambulia Rais William Ruto, wakimtaja kama kiongozi aliyewadanganya Wakenya na kuwatenga wafuasi wake wa zamani. Wakizungumza katika mikutano ya kisiasa iliyofanyika leo maeneo ya Subukia na Bahati, kaunti ya Nakuru, viongozi hao wakiongozwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seneta John Methu, wamewarai wananchi kusimama imara na kumuunga mkono Rigathi Gachagua.