- 1,040 viewsDuration: 1:17Chama cha DCP kimemshutumu Rais William Ruto kwa kuwa na ajenda fiche kufuatia hatua yake ya punde ya kufutilia mbali kandarasi ya kampuni ya Tata iliyoko eneo la Magadi. Chama hicho kinachoongozwa na Rigathi Gachagua kinadai kuwa Rais ana maslahi fulani kuhusu madini yaliyoko eneo hilo, huku kikilalamikia kuwa hatua h