- 240 viewsDuration: 1:04Benson Njoroge kutoka kaunti ya Nakuru amejiunga na orodha ya washindi wa Shabiki.com baada ya kujishindia KSh 1,273,640 kupitia mchezo maarufu wa Crash. Dereva huyo wa lori amesema ushindi huo umefika kwa wakati muafaka kwani utamwezesha kukamilisha mradi wake wa ujenzi wa nyumba uliokwama na pia kuimarisha shughuli zake za kibiashara. Wakati huo huo, kupitia kampeni ya Shabikia World Cup Kishabiki, Shabiki.com inawapa mashabiki wa soka nafasi ya kujishindia hadi shilingi milioni 9.