Skip to main content
Skip to main content

DIG Lagat aongoza mkutano wa maafisa wa polisi kujadili usalama Nairobi

  • | Citizen TV
    884 views
    Duration: 1:38
    Naibu ispekta jenerali wa polisi Eliud Lagat leo amefanya mkutano na maafisa wa kuu wa polisi katika kitovu cha usalama jijini nairobi maarufu nairobi region command. mkutano huo umeangazia mikakati ya usalama, makabiliano dhidi ya magenge pamoja na maslahi ya maafisa wa usalama. Lagata anasema maafisa wapya elfu kumi wanatarajiwa kujiunga na kikosi cha polisi.