Skip to main content
Skip to main content

Duale asamehewa baada ya kukaidi amri ya mahakama kuhusu kituo cha Ebola Laikipia

  • | Citizen TV
    2,213 views
    Duration: 2:52
    Waziri wa Afya Aden Duale amesamehewa na mahakama baada ya kuomba radhi kwa kukiuka amri iliyositisha ujenzi wa kituo tata cha Marekani cha karantini ya Ebola katika kambi ya kijeshi ya Laikipia. Duale, ambaye alipatikana na hatia ya kudharau mahakama, alitoa amri mbele ya mahakama akisitisha ujenzi wa kituo hicho mara moja.