- 1,596 viewsDuration: 1:13Waziri wa afya Aden Duale ametaka uchunguzi wa kina kuhusu mauaji ya raia yanayodaiwa kufanywa na maafisa wa polisi. Waziri duale alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa madrasa ya hafsa binti sirin kaunti ya garissa, ambayo sasa inabadilika kuwa shule iliyojumuishwa kufunza masomo ya elimu ya msingi na sekondari. Aidha aliwakashifu wakazi wa garissa kwa kutumia njia mbadala ya kusuluhisha mizozo ambayo mara nyingi huzuia haki, haswa wakati wahusika wa uhalifu wanapokamatwa.