Skip to main content
Skip to main content

Duale atia saini mkataba wa afya wa Sh10 bilioni

  • | Citizen TV
    376 views
    Duration: 1:32
    Waziri wa Afya Aden Duale ametia saini mkataba wa shilingi bilioni 10 na shirika la Beginnings Fund ili kusaidia mpango wa afya ya kina mama na mtoto nchini. Mkataba huo wa miaka mitano utaimarisha huduma za afya kwa kina mama wajawazito ili kupunguza vifo vya wanawake wakati na baada ya kujifungua. Shirika hilo litagharamia utekelezaji wa mradi huu ambao unalenga hospitali 200 katika kaunti 21.