Skip to main content
Skip to main content

Duale: Sitaomba msamaha kwa matamshi yangu

  • | Citizen TV
    44,903 views
    Duration: 3:58
    Aden Duale amesema hataomba msamaha kwa matamshi yake yaliyotafsiriwa na baadhi ya viongozi kuwa ya kuchochea uhasama wa kikabila. Duale amesema hajutii kauli yake licha ya ukosoaji mkali kutoka kwa viongozi mbalimbali, ambao wamemshutumu kwa kutoa matamshi yenye athari kwa mshikamano wa kitaifa. Viongozi wa upinzani pia wamemkosoa, wakidai alikuwa akitekeleza maagizo ya William Ruto.