Skip to main content
Skip to main content

EACC yaanza kurejesha ardhi ya magereza ya Sh790 milioni

  • | Citizen TV
    599 views
    Duration: 2:25
    Tume ya kupambana na ufisadi imeanza mchakato wa kurejesha kipande cha ardhi chenye thamani ya shilingi milioni mia saba kilichonyakuliwa kutoka kwa idara ya magereza. Ardhi hiyo iliyo mjini Kisumu kwa sasa ina majumba ya kifahari na mali nyingine yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 4. Afisa mtendaji wa EACC Abdi Mohamud aliwatahadharisha wakenya dhidi ya kununua mali ya umma, akisema kuwa shoka la sheria litalenga sio tu wanunuzi bali pia waliofanikisha uuzaji wa mali ya umma.