Skip to main content
Skip to main content

EACC yafufua sakata ya mabilioni ya ardhi ya Ruaraka

  • | Citizen TV
    1,511 views
    Duration: 3:06
    Sakata ya mabilioni ya pesa za ardhi ya Ruaraka imerejea tena baada ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC, kusema inaendelea na juhudi za kurejesha shilingi bilioni 1.5 za fedha za umma zilizopotea. Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa uliobaini kuwa malipo hayo yalifanywa kinyume cha sheria na hayakuwa na uhalali. Brenda Wanga anaangazia kwa undani maendeleo ya sakata hilo.