Skip to main content
Skip to main content

EACC yamhoji hakimu wa Kangema kwa tuhuma za rushwa

  • | Citizen TV
    3,101 views
    Duration: 1:36
    Tume ya kupambana na ufisadi EACC kwa sasa inaandikisha taarifa ya hakimu Martin Kinyua wa wa mahakama ya Kangema, baada ya kumkamata kwa tuhuma za kuitisha rushwa ili kubatili hukumu.