- 1,850 viewsDuration: 2:49Wizara ya Elimu ni kati ya idara za serikali zilizopewa mgao mkubwa zaidi kwenye bajeti ya mwaka wa kifedha unaoanza. Waziri wa Hazina ya Kitaifa John Mbadi amesema mgao huo unapaswa kufanikisha mikakati na malengo ya kuimarisha sekta ya elimu, ikiwemo nyongeza ya mishahara na ajira kwa walimu 20,000 wapya. Sekta ya usalama pia imevuna pakubwa kwenye bajeti iliyosomwa leo.