8 Jan 2026 1:26 pm | Citizen TV 344 views Duration: 2:03 Wito umetolewa kwa serikali kuwekeza katika ujenzi wa madarasa ya elimu ya ngumbaru kaunti ya Turkana, ili kusaidia watu wazima waliokosa fursa ya kujua kusoma na kuandika wakiwa watoto wapate elimu.