- 721 viewsDuration: 1:23Timu ya taifa ya Kenya ya vijana wasiozidi umri wa miaka 23, maarufu kama Emerging Stars, imezidisha makali katika maandalizi ya mechi ya mkondo wa pili ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la Afrika ya mwaka 2027 dhidi ya Tanzania.