- 654 viewsDuration: 1:11Equity hawks imefuzu katika fainali ya ligi kuu ya kitaifa ya mpira wa kikapu kwa wanawake baada ya kuilaza stanbic aces alama 82 kwa 64, katika mchezo wa tano wa nusu fainali ya michuano hiyo, ulioandaliwa katika ukumbi wa nyayo, alhamisi jioni.