- 922 viewsDuration: 5:08Shinikizo la damu ni presha inayotumika kusukuma damu kwenye mishipa . Nguvu hii hutoka kwenye mapigo ya moyo yanayosukuma damu mwilini mwako. Tunapozungumza kuhusu matatizo ya kiafya, mara nyingi tunamaanisha shinikizo la juu la damu (presha kupanda) ambapo nguvu hii inazidi viwango vya kawaida. Katika siha na maumbile wiki Dkt Rachael Njogu wa kituo cha equity afya Gachie anafafanua mengi kuhusiana na hali hii, na kudokeza mambo ya msingi yanayostahili kutiliwa maanani.