Skip to main content
Skip to main content

Faida za kiafya za kupanda ngazi kila siku

  • | BBC Swahili
    2,714 views
    Duration: 1:19
    Je unazijua faida za kiafya utakazozipata endapo utapanda ngazi kila siku, ikilinganishwa na kutumia lifti? Kupanda ngazi ni mazoezi rahisi yanayoweza kuimarisha afya ya moyo, kuongeza uwezo wa ubongo, kujenga misuli, na kuboresha usawa wa mwili. Kivipi? @frankmavura anaelezea kwa kina #bbcswahili #afya #mazoezi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw