- 598 viewsDuration: 2:32Familia mia mbili kutoka eneo la Kajulu, kaunti ya Kisumu, zimesalia njia panda baada ya nyumba zao kuharibiwa na mvua wiki mbili zilizopita. Baadhi ya waathiriwa sasa wanaishi chini ya miti wakikodolea macho athari za utovu wa usalama. Wakazi hao sasa wanaitaka serikali ya kaunti na ile ya kitaifa kuwashughulikia na kuwaepushia madhila ya mafuriko ya ghafla.