Skip to main content
Skip to main content

Familia huko Nyali, Mombasa yadai haki dhidi ya kifo cha Hamisi Karisa

  • | Citizen TV
    9,442 views
    Duration: 4:10
    Familia moja eneobunge la Nyali kaunti ya Mombasa yalilia haki baada ya jamaa yao kuuwawa akiwa kazini. Hamisi Karisa Kombe adungwa kisu hadi kufa kutokana na kile polisi wanachodai ni kukosa kukubaliana na maagizo ya makundi mawili yaliokuwa yaendesha biashara ya madini. Washukiwa wawili wakamatwa akiwemo raia wa Tanzania,