Skip to main content
Skip to main content

Familia Kajiado yataka mzozo wa ardhi wa miaka minne utatuliwe

  • | Citizen TV
    216 views
    Duration: 1:46
    Familia moja kutoka eneo la Nkama huko Oloitokitok katika kaunti ya Kajiado inaitaka Wizara ya Ardhi ya kaunti hiyo pamoja na Idara ya Ardhi ya Serikali Kuu kutatua mzozo wa ardhi yao uliodumu kwa zaidi ya miaka minne.