Skip to main content
Skip to main content

Familia mbili Nakuru zinalalamika fidia ya jamaa wao uliouawa wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    1,647 views
    Duration: 2:59
    Familia mbili ambazo ziliwapoteza wana wao wakati wa maandamano ya Gen Z mwezi Juni 2024 mjini Nakuru zinalalamika kukosa fidia ya shilingi milioni tatu kila moja, kama ilivyoahidiwa na serikali kupitia kamati maalum ya fidia inayoongozwa na Profesa Makau Mutua. Familia hizo zinalaumu kamati hiyo kwa kuwacheleweshea fidia, huku wakiendelea kuishi na makovu ya ukatili wa asasi za serikali ambao uliwapokonya wapendwa wao. Maryanne Nyambura alizungumza na familia hizo na kuandaa taarifa ifuatayo.