18 Jun 2026 10:16 am | Citizen TV 1,082 views Duration: 1:39 Familia moja katika eneo la Kinango kaunti ya Kwale yalilia haki baada ya mwana wao kupatikana ameuawa na mwili wake kutupwa kichakani katika kijiji cha Ziwani eneo la Golini.