- 183 viewsDuration: 2:27Familia moja kutoka eneo la Lukonyi kaunti ya Busia yaomboleza kifo cha binti yao mwenye umri wa miaka 26 anayedaiwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi waliokuwa wakikabiliana na kundi la vijana katika eneo la Marachi Viungani mwa mji wa Busia.