Skip to main content
Skip to main content

Familia moja kaunti ya Mombasa yalilia haki baada ya jamaa yao kupatikana amechomeka ndani ya nyumba

  • | Citizen TV
    963 views
    Duration: 4:46
    Familia moja kaunti ya Mombasa yalilia haki baada ya jamaa yao kupatikana amechomeka ndani ya nyumba mtaani mikindani. Tukio hilo la tarehe 14 Agosti ladaiwa kuchangiwa na ugomvi kati ya marehemu na mkewe. Inaarifiwa kuwa mshukiwa alimwagiwa petroli na kuteketezwa ndani ya nyumba