Skip to main content
Skip to main content

Familia moja kutoka Balambala kaunti ya Garissa yafanya maandamano

  • | Citizen TV
    670 views
    Duration: 2:11
    Familia moja kutoka Balambala kaunti ya Garissa yafanya maandamano ikitaka kujua aliko jamaa yao asemekaye kukamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa maafisa wa polisi kwenye barabara kuu ya Garissa kuelekea Modogashe.