Skip to main content
Skip to main content

Familia Nakuru yalilia haki baada ya jamaa kujeruhiwa

  • | Citizen TV
    1,327 views
    Duration: 2:00
    Familia moja kaunti ya Nakuru inalilia haki kufuatia kifo cha jamaa yao anayedaiwa kupata majeraha baada ya kupigwa na maafisa wa polisi. Jeremiah Mwaura anadaiwa kuvunjwa uti wa mgongo wakati wa maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta mwezi Mei mwaka huu. Maryanne Nyambura anaarifu.