Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Abdul Aziz Duba yataka majibu kuhusu kutoweka kwake

  • | Citizen TV
    6,017 views
    Duration: 2:46
    Huku shinikizo likiendelea kuhusu waliko watu wanne wanaodaiwa kukamatwa na maafisa wa usalama, familia ya Abdul Aziz Duba kutoka Kiamaiko sasa inaitaka serikali kutoa majibu kuhusu aliko. Familia hiyo imetaka jamaa yao anayefahamika kama Zizo kuachiliwa huru au kufikishwa mahakamani iwapo anashikiliwa. Kukamatwa kwa Abdul Aziz kulichochea maandamano ya siku mbili katika eneo la Kiamaiko huku wakazi wakitaka ufafanuzi kuhusu aliko.