Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Bungoma yataka msaada kurejesha mwili kutoka DRC

  • | Citizen TV
    538 views
    Duration: 2:39
    Familia moja kutoka Bungoma inaitaka Wizara ya Mashauri ya Nchi za Kigeni kuwasaidia kupata mwili wa mpendwa wao aliyefariki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Wycliffe Maketi alifariki katika mazingira tata huku familia ikipokea taarifa kinzani kuhusu kiini cha kifo chake. Mlipuko wa Ebola umezuia juhudi za familia kupata maiti ya jamaa yao.