25 Sep 2026 1:22 pm | Citizen TV 1,738 views Duration: 1:45 Familia moja kutoka Iranya katika eneo bunge la Kitutu Masaba kaunti ya Nyamira, imeandamana pamoja na wakazi wakita haki baada ya mwana wao kudaiwa kufariki mikononi mwa polisi.