- 20,455 viewsDuration: 1:18Familia ya aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole ikiongozwa na mama yake mzazi Bi Annamary Polepole imefika mahakamani ikiitaka serikali imfikishe mahakamani kama anakosa lolote au imuachie huru kama hana kosa. Kupitia kwa wakili Peter Kibatala bi Anna Mary na familia ya Polepole wameiomba mahakama iwaamrishe mamlaka mbalimbali za uslaama na polisi kueleza aliko mwanasiasa huyo. #bbcswahili #tanzania #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw