Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Jedida Mwende yalilia haki baada ya mtoto kutekwa na kuuawa

  • | Citizen TV
    5,707 views
    Duration: 3:21
    Familia moja mtaani Mukuru kwa Njenga hapa jijini Nairobi inalilia haki na uchunguzi wa kumkamata mshukiwa aliyemteka nyara mtoto wa miaka Saba kabla ya kumuua na kuuchoma mwili wake. Mwanafunzi wa gredi ya kwanza Jedida Mwende alitoweka mapema mwezi jana, kabla ya mwili wake kupatikana ukiwa umechomwa kiasi cha kutotambulika kando kando ya Barabara mtaani Embakasi.