15 Jun 2026 1:20 pm | Citizen TV 3,375 views Duration: 58s Familia moja katika mtaa wa Juja, jijini Nairobi, inamtafuta jamaa wao kwa jina Esther Wairimu, mwenye umri wa miaka 54, aliyepotea kutoka eneo hilo la Juja tarehe 10 Juni mwaka huu.